1.
To get answers to all this questions just Text " Tumbo" to
0711224186 together with your email address or Whatsaap Number.
The Answers will be sent to you after payment of 100/= to this Number 0711 224 186
Huku
ukirejelea hadithi ya Tumbo Lisiloshiba na Shibe Inatumaliza, fafanua maudhui
ya ukiukaji wa haki. (al.20)
2.
Onyesha jinsi
maudhui ya utabaka na mapenzi ,yanavyojitokeza katika hadithi ya mapenzi ya
kifaurongo.
3.
“..Wanafunzi
wa chuo kikuu si kama watoto vikembe wa shule ya chekechea…..”
a)
Weka dondoo hili katika muktadha wake.(alama
4)
b) Taja
na ufafanue tamathali ya usemi uliyotumiwa katika dondoo hili (alama 2)
c) Hadithi
hii inadhihirisha utegemezi wa binadamu. Fafanua (alama14)
4. Bara la Afrika limekumbwa na umaskini mkubwa.
Fafanua dhana ukirejelea hadithi ya Tumbo lisiloshiba na Mapenzi ya Kifaurongo (alama
20)
5.
“Rasta twambie bwana!”
a) Weka
dondo katika muktadha (ala 4)
b) Taja
mbinu zilizotumiwa na mwandishi katika
dondoo hili (ala 2)
c) Ni
kwa vipi mzungumziwa anamchukulia mwalimu mkuu kama hambe? (alama 4)
d) Je,
mtihani wa maisha ni amwani faafu ya hadithi hii. (alama10 )
6. Jadili mashaka ya Mashaka katika hadithi ya “Ndoto ya Mashaka” (alama
20)