Pages

Powered by Blogger.

Friday, April 24, 2020

Athari za matumizi ya mihadarati | CHOZI LA HERI



Utumizi wa afyuni katika jamii umeleta mathara mengi . Thibitisha 
Athari za matumizi ya mihadarati
  • §  Zohali anajiunga na kundi la vijana na kuvuta gundi inayomfanya kusahau matatizo anayopitia bila kujua mathara yake
  • §  Pete anahamia kwa kazi ya kuuza pombe inayosababisha kupata watoto ambao anashindwa kuwalea na kutaka kujiua
  • §  Dick anaingizwa na Sauna katika ulanguzi wa dawa za kulevya zinazohatarisha maisha ya muuzaji anaweza kamatwa na polisi na kufungwa
  • §  Dick anashurutishwa kumeza dawa za kulevya na kasha akifika ughaibuni asitapike kutokana na uangalizi mkali katika viwanja vya ndege
  • §  Dawa za kulevya zinasababisha vifo kijana msomi anakufa katika hospitali ya mwanzo mpya kutokana na utumiaji wa dawa za kulevya
  • §  Shamsi anawapigia kelele majirani wake katika mji wa Ahueni kutokana na ulevi wake
  • §  Aidha ulevi unamfanya aishi katika mtaa wa makabwela wa Kazikeni
  • §  Kapanga ananusurika kifo kwa matumizi ya kangara inayosababisha vifo vya watu sabini uk143


0 comments:

Post a Comment