Pages

Powered by Blogger.

Tuesday, April 28, 2020

MASWALI NA MAJIBU YA TUMBO LISILOSHIBA NA HADITHI NYINGINE


1.      


      To get answers to all this questions just Text " Tumbo" to 
     0711224186 together with your email address or Whatsaap Number. 
  The Answers will be sent to you after payment of 100/= to this Number 0711 224 186

       Huku ukirejelea hadithi ya Tumbo Lisiloshiba na Shibe Inatumaliza, fafanua maudhui ya ukiukaji wa haki. (al.20)
     2.      Onyesha jinsi maudhui ya utabaka na mapenzi ,yanavyojitokeza katika hadithi ya mapenzi ya kifaurongo.
    3.      “..Wanafunzi wa chuo kikuu si kama watoto vikembe wa shule ya chekechea…..”
  a)    Weka dondoo hili katika muktadha wake.(alama 4)
  b)    Taja na ufafanue tamathali ya usemi uliyotumiwa katika dondoo hili (alama 2)
  c)    Hadithi hii inadhihirisha utegemezi wa binadamu. Fafanua     (alama14)
   4.        Bara la Afrika limekumbwa na umaskini mkubwa. Fafanua dhana ukirejelea hadithi ya Tumbo lisiloshiba na Mapenzi ya Kifaurongo                         (alama 20)
     5.       “Rasta twambie bwana!”
a)      Weka dondo katika muktadha  (ala 4)
b)      Taja mbinu zilizotumiwa na mwandishi  katika dondoo hili (ala 2)
c)      Ni kwa vipi mzungumziwa anamchukulia mwalimu mkuu kama hambe? (alama 4)
d)     Je, mtihani wa maisha ni amwani faafu ya hadithi hii. (alama10 )
    6.       Jadili mashaka ya Mashaka  katika hadithi ya “Ndoto ya Mashaka” (alama 20)

       7.  "Penzi lenu na nani? . . . . Mgomba changaraweni haupandwi ukamea. Potelea mbali mkate wee!"
a) Eleza muktadha wa dondoo hii. (alama 4)
b) Taja na ufafanue mbinu mbili za lugha zilizotumiwa katika dondoo hili. (alama 4)
c) Onyesha vile maudhui ya utabaka yanavyo jitokeza katika hadithi nzima. (alama 6)
d) Eleza sifa sita za mzugumzaji kwenye dondoo. (alama 6)
8.      Ilikuwa kama vile katia saini ya kutiwa kitanzi bila ya kutambua vipengele vya sheria za utiaji huo wa kitanzi.
a)      Fafanua tamathali mbili zilizotumika katika dondoo. (alama 4)
b)      Jadili vipengele vitano vya sheria zinazorejelewa katika hadithi nzima. (alama 10)
c) Onyesha dhiki iliyompata mrejelewa kwa kukosa kivitambua vipengele hivyo. (alama 6              
9.      “ Mwandishi wa haditi ya Tumbo lisiloshiba ametumia mbinu ya Jazanda kwa ufanisi mkubwa.” Thibitisha ( alama 20)
10.  “… Ningeondoka shuleni mapema niende niibe au niue ili niwe mtu wa maana.”
a)      Eleza muktadha wa maneno haya ( alama 4)
b)      Onyesha vile kinaya kinavyojitokeza ( alama 2)
c)      “ Kinaya kimetumika kwingine kwingi katika hadithi ya Mwalimu Mstaafu.” Thibitisha ( alama 14)
11.  “ Wahusika katika hadithi shibe inatumaliza wanatumia uhuru wao vibaya.” Onyesha ukweli wa kauli hii kwa kutoa mifano. ( alama 20)
12.  “Hebu sikiza jo! Pana hasara gani nzi kufia kidondani?”
a)      Eleza muktadha wa dondoo hili. ( alama 4)
b)      Taja na utoe mifano ya mbinu nne za lugha zilizotumika katika dondoo ( alama 8)
c)      Onyesha ukweli wa kauli “ nzi kufia kidondani” unavyodhihirishwa na wahusika katika hadithi. ( alama 8)
13.      “Hatuwezi kumaliza kula, kila leo tunakula”
(a) Eleza mukadha wa dondoo hili.                                                                   (alama 4)
(b) Fafanua tamathali ya usemi iliyotumika.                              (alama 2)
(c) Eleza umuhimu wa mnenaji.                                                             (alama 4)
(d) “Lakini nakwambia tena, kula kunatumaliza”  Kwa kudokeza hoja kumi, jadili ukweli wa  kauli hii. (alama 10)
14.   “Hapana cha ala, bwana. Liswmwalo lipo,kama halipo linakuja. Kumbuka msemo  mabrafu wa siri ya kata iulize mtungu .  Mtungi  wenyewe ni  mimi ……”
wa
a)      Bainisha tamathali mbili za lugha zilitotumiwa katika dondoo hili  ( alama 2
b)      Fafanua sifa moja ya msemaji inayodokezwa na dondoo hili  ( alama 2)
c)      Msemaji  wa mabo  haya baadaye anageuka kata na kupiga mbizi mtungini. Eleza ukitoa mfano kutoka hadithi. ( alama 4)
d)     Eleza maudhui ya malezi kama yanavyojotokeza katika hadithi ya shogaka Dada ana Ndevu .  ( alma 8
15.  Jadili maudhui ya elimu katika Diwani ya Tumbo lisiloshima ukizingatia hadithi zifuatazo:
a)      Mapenzi  ya kifaurongo 
b)      Shagake dada ana ndevu .
c)      Mamake Bakari .
d)     Mwalimu  mstaafu .
e)      Mtihani  wa maisha .

17.  “... maendeleo yanadai mchango wa kila mtu, maskini na tajiri”
      a)Eleza muktadha wa dondoo hili.         (alama 4)
      b)Taja na ueleze sifa nne za msemaji katika dondoo hili.           (alama 4)
      c)Mambo yepi mengine ambayo msemaji huhojiana na wenzake wanapokutana ?       (alama
      d)                         Taja na ueleze maudhui matatu yanayojitokeza katika dondoo hili.   (alama

18.  Kwa kurejelea hadithi zozote tano katika diwani ya, ‘Tumbo lisiloshiba na hadithi nyingine.’ Jadili maudhui ya nafasi ya wazazi katika malezi.       (alama 20
19.  “…..ilmuradi mawazo yanamwadhibu sasa”
a.   Eleza muktadha wa dondoo hili.                 (alama 4)
b.   Fafanua sifa za anayerejelewa katika dondoo hili.  (alama 6)
c.   Onyesha mawazo yanayomwadhibu anayerejelewa na dondoo hili.     (alama 10
Alfa Chokocho  :  Tulipokutana tena
20.  “ Mamangu siku ile aliniamsha mapema.”
i)   Eleza muktadha wa dondoo hili.               (alama 4)
ii)  Tathmini umuhimu wa usimulizi wa mzungumzaji katika kuendeleza dhamira ya hadithi hii. (a 8)
b. Onyesha jinsi mashaka linavyomwafiki mhusika mwenyewe katika hadithi ya “Ndoto ya Mashaka”            (alama 8)
21. Sekta ya elimu ina changamoto nyingi.Thibitisha kwa kurejelea hadithi zifuatazo : (alama 20
           a) Mapenzi ya Kifaurongo
           b) Shogake dada ana Ndevu
           c) Mwalimu  Mstaafu
           d) Mtihani wa maisha
22.  ‘’ Hakikubakia hata chakula kidogo cha sadaka ya mwenye njaa… ‘’
Thibitisha ukweli wa kauli hii kwa hoja kumi ukirejelea hadithi ya Tumbo Lisiloshiba                     (al 10)
Jadili uhalisia wa hadithi ya Tumbo Lisiloshiba katika jamii ya leo kwa kutoa hoja kumi.                (al 10)       
23. “Kesho kama sote tutaamka salama……….kama tutafungua milango ya nyumba zetu”….
(a)  Eleza muktadha wa dondoo hili                                 (alama 4)
(b)  Eleza tamathali mbili za lugha zilizotumiwa katika dondoo hili.        (alama 4)
(c)  Eleza sifa sita za msemaji wa maneno haya.                                       (alama 6)
(d) Hadithi hii inaakisi mambo mengi yanayotendeka katika bara la Afrika.
Taja mambo sita                                                                                        (alama 6)

23.  Ukengeushi huzorotesha maendeleo ya kijamii.  Jadili kauli hii ukirejelea hadithi ya ‘Mkubwa’.      (alama 20
24.  “Kesho panapo majaaliwa. Kesho kama sote tutaamka…….. kama tutafungua milango ya nyumba zetu zinazosimamia juu ya ardhi hii adhimu…”
a Eleza muktadha wa dondoo hili                              (al. 4)
b Eleza sifa nne za msemaji                                        (al. 4)
c) Taja mbinu zozote mbili za lugha zinazojitokeza katika dondoo hili          (al. 2)
d Kwa kurejelea hadithi nzima onyesha namna jamii ya kisasa ina tumbo lisiloshiba  (al. 10)
25.  Kwa kuzingatia hadithi zozote tano eleza uozo wa jamii kama unavyojitokeza katika tumbo lisiloshiba   (Diwani)
26.  Ilikuwa kama vile katia saini ya kutiwa kitanzi bila ya kutambua vipengele vya sheria za utiaji huo wa kitanzi.
a)Fafanua tamathali mbili zilizotumika katika dondoo.                                (alama 4)
     b)Jadili vipengele vitano vya sheria zinazorejelewa katika hadithi nzima.   (alama 10)
       c)Onyesha dhiki iliyompata mrejelewa kwa kukosa kivitambua vipengele hivyo.(alama 6)                        
27.  Huku ukirejelea diwani ya Tumbo lisiloshiba fafanua matatizo yanayokumba vijana katika jamii                                                                                                                                                                                 (alama 20)
28.   Eleza sifa za wahusika wafuatao.                                                                       [alama 20]
29.  ‘’Acha nijiondelee duniani niwaachie wafanisi wafanikiwe.”
a) Eleza muktadha wa dondoo hili                                                              [alama 4]
b) Fafanua sifa za mhusika katika dondoo hili.                                           [alama 8]
c) Fafanua mbinu zozote nne za kifani katika hadithi hii.                           [alama 8]
30.  Kwa kurejelea hadithi ya Tumbo Lisiloshiba  na ya  Mapenzi ya Kifaurongo, fafanua maudhui ya utabaka.      (al. 20)
Utabaka – Tumbo Lisiloshiba
Utabaka – Mapenzi ya Kifaurongo
31.  a) Anwani  ya hadithi TUMBO LISILOSHIBA ni mwafaka kwa hadithi hii. Fafanua                       (ALama 10)
 b) Fafanua sifa kumi za mzee Mago                (Alama 10)

32. Huku ukirejelea  hadithi za:
    i) Mapenzi ya kifaurongo
   ii) Shogake dada ana ndevu
 iii) Mame Bakari
 Fafanua maudhui ya mapenzi kama yanavyosawiriwa.                                 (Alama 20)
 a) Mapenzi ya kifaurongo
 b) Shogake dada ana ndevu
c) Mame Bakari
32.  Kwa kurejelea hadithi zozote tano katika ‘Tumbo lisiloshiba na Hadithi nyingine’, fafanua maudhui ya utabaka. (Alama 20)
33.  Kwetu tunapigania mikono ielekee vinywani. Mzoea vya sahani, vya vigae haviwezii”
a)Eleza muktadha wa dondoo hili                                                                                 (alama 4)
b)      Taja tamathali mbili za usemi zinazojitokeza katika dondoo hili                          (alama2)
c)Fafanua sifa za msemaji                                                                                          (alama 4)
d)     Jadili maudhui ya utabaka ukjirejelea hadithi husika.                                      (alama 10)
34.  Mhini na mhiniwa njia yao moja. Jadili ukweli wa methali hii ukirejelea hadithi ya mkubwa                 (alama10)
b)      thibitisha kuwa ulitima ni kati ya maudhui ya hadithi ya mkubwa    
35.   Naapa na mola wangu sitofanya tena biashara hii.”
a.       Eleza muktadha wa dondoo hili
b.      Tathmini umuhimu wa mzungumzaji
c.       “Biashara inayorejelewa ilikuwa na athari basi kwa jamii.” Huku ukirejelea hadithi hii,thibitisha ukweli wa kauli hii kwa hoja kumi.
36.  Jadili maudhui ya usaliti katika hadithi ,’Mapenzi ya kifaurongo’ na ‘Mame Bakari.
            MAME BAKARI
37. “Ndugu yangu kula kunatumaliza”
        “Kunatumaliza au tunakumaliza”
(a)    Eleza  muktadha wa dondoo hili.                                                             (alama 4)
i)        Fafanua  maana ya kitamthali  katika kauli ‘kula tunakumaliza’          (alam 10)
ii)      Kwa mujibu wa hadithi hii, nbi kwa namna gani wasemaji wanadai kula kunawamaliza? (alama 6)

38. (a) “Mame Bakari”
            Kwa mujibu wa hadithi hii, ubahaimu anaotendewa mwanamke unakuwa na athari mbaya kwake.  Onyesha kwa mifano mwafaka.                                       (alama 10)      
(b)“Masharti ya Kisasa”
            “…mapenzi ni mateso,ni utumwa, ni ukandamizaji , ni ushabiki usio na maana.”
            Thibitisha ukweli wa kauli hii kama unavyojitokeza kwenye hadithi.            (alama 10)

39.  Jadili ufaafu wa anwani TUMBO LISILOSHIBA kwenye hadithi hiyo. 
40.   (a) Jadili matatizo yanayowakumba wakaazi wa  Madongo poromoka katika tumbo lisiloshiba                       (alama 10)

      (b)Dhihirisha ukweli wa methali “mzoea sahani vya vigae haviwezi” katika hadithi ya mapenzi ya kifaurongo                                                                              (alama 10)

41. Aliyeumwa na nyokaakiona ung’ong’o hushtuka                                 
a) Weka dondoo hili katika muktadha                            (alama 4
b) Eleza namna mzungumziwa alivyoumwa na nyoka                                           (alama 6)
c) Mzungumziwa anaendeleza vipi maudhui ya ushauri na ukosefu wa utu? (alama 10)
42.    “Hakuchukua muda mrefu, akili zao zilipowaamsha kuwapeleka kwenye maana hasa ya kile kilichokuwa kikitokea ...”
a.       Eleza muktadha wa dondoo hili                                            (Alama 4)
b.      Fafanua tamathali ya usemi aliyoitumia mwandishi katika dondoo hili       (Alama 2)
c.       Fafanua kile kilichokuwa kikitokea                                                               (Alama 2)
d.      Eleza juhudi zilizofanywa kuzuia kilichokuwa kikitokea kisitoke                (Alama 12)

43.  Ulezi umewapa wazazi wengi changamoto nyingi. Ukirejelea hadithi ya shogake, dada ana ndevu dhihirisha ukweli wa kauli hii                                        (Alama 10)
a.       Fafanua changamoto zinazokabili asasi ya ndoa ukirejelea hadithi ya Masharti ya kisasa  (Alama 10)
44.  Fafanua jinsi mwandishi wa ‘Tumbo Lisiloshiba’ alivyotumia kinaya kufanikisha maudhui yake                          (alama 10)
45.   ‘… lakini shogake… shogake… shogake dada nikamwona ana ndevu.’
a)      Eleza muktadha wa dondoo hili                 (alama 4)
b)      Bainisha sifa tatu za ‘shoga’ anayezungumziwa katika dondoo hili.  (alama 6)
c)      Jadili umuhimu wa ‘dada’ anayerejelewa katika kuendeleza dhamira ya hadithi. (alama 10)
46.  ``Hakuna aliyeweza kukitegua kitendawili chenyewe lakini…’’
a)Eleza muktadha wa dondoo  hili.   ( alama 4)
b) Tambua tamathali ya usemi iliyotumiwa katika dondoo hili.    ( alama 2)
d)     Fafanua chanzo na hatima ya kitendawili kinachorejelewa katika dondoo hili. (alama 10)
d) Eleza wasifu  wa warejelewa katika dondoo hili.   ( alama 4)


1 comments: