Kwa kutumia mifano mwafaka, onyesha kwa hoja kumi na nne(14) jinsi sumu ya nyoka
ilivyoathiri eneo la Sagamoyo katika tamthilia ya kigogo.
i) Vifo mfano
Ngao junior
ii) Watu wanageuka vipofu
iii) Ukengeushi mf. Ngurumo
iv) Kuanguka chini ovyo ovyo na kugaragara
v) Wanafunzi katika shule ya Majoka wamegeuka vichwa
maji.
vi) Hawatambui athari za ulevi.
vii) Hawaoni athari ya soko kufungwa
viii) Kupotosha vijana ( gume gume)
ix) Kupotoka kwa maadili
x) Kuvunjika kwa ndoa