Kwa kutumia mifano mwafaka, onyesha kwa hoja kumi na nne(14) jinsi sumu ya nyoka
ilivyoathiri eneo la Sagamoyo katika tamthilia ya kigogo.
i) Vifo mfano
Ngao junior
ii) Watu wanageuka vipofu
iii) Ukengeushi mf. Ngurumo
iv) Kuanguka chini ovyo ovyo na kugaragara
v) Wanafunzi katika shule ya Majoka wamegeuka vichwa
maji.
vi) Hawatambui athari za ulevi.
vii) Hawaoni athari ya soko kufungwa
viii) Kupotosha vijana ( gume gume)
ix) Kupotoka kwa maadili
x) Kuvunjika kwa ndoa
xi) Waathiriwa wanatumiwa na viongozi kutekeleza
maovu( chatu) mf. Ngurumo
xii) Utepetevu ( uzembe) wanashida ulevini
xiii) Kuwaunga mkono viongozi wasiowajibika baada ya kupewa vipeni. (
vibaraka)
viv) Kutumia lugha chafu/ matusi mf Ngurumo kumtusi
Tunu.
xv) Kukosa wachumba/ ukapera mf Ngurumo
xvi) Kuvuja pesa
xvii) Kutofuata maagizo – Chopi hakufuata maagizo ya
kumuua Tanu.
To get answers to this and more questions just Text " KIGOGO " to
0711224186 together with your email address or Whatsaap Number.
The Answers will be sent to you afte r payment of 1 00/= to this Number 0711 224 186
0 comments:
Post a Comment