TO GET ANSWERS TO ALL THIS QUESTIONS
Text Kiswahili Paper 3 to this no: 0711 224 186 together with your email address or Whatsaap Number.
The Answers and Questions will be sent to you (PDF Format) after payment of 100/= to this Number 0711 224 186.
Check the questions here in this Link (pdf Format) : HADITHI FUPI NA TAMTHILIA
Check the questions here in this Link (pdf Format) : HADITHI FUPI NA TAMTHILIA
TAMTHILIA
KIGOGO:
PAULINE KEA
1. LAZIMA
“Asante ya punda kweli ni mateke. Sikujua ungekuja kunihangaisha ...”
a) Weka dondoo hili katika muktadha wake. (alama 4)
b) Onyesha jinsi msemewa anamwangaisha
msemaji. (alama 2)
c) Kwa kurejelea tamthilia nzima onyesha
ukweli wa methali “Asante ya punda ni mateke.” (alama
14)
HADITHI FUPI
Tumbo
lisiloshiba na hadithi nyingine
Jibu
swali la 2 au 3
2. “... maendeleo yanadai mchango wa kila mtu, maskini na tajiri”
a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama 4)
b) Taja na ueleze sifa nne za msemaji
katika dondoo hili. (alama 4)
c) Mambo yepi mengine ambayo msemaji
huhojiana na wenzake wanapokutana ? (alama
6)
d) Taja na ueleze maudhui matatu
yanayojitokeza katika dondoo hili. (alama
6)
3. Kwa kurejelea hadithi zozote tano katika diwani ya, ‘Tumbo lisiloshiba
na hadithi nyingine.’ Jadili maudhui ya nafasi ya wazazi katika malezi. (alama
20)
: Kigogo
Tibu swali
la 2 au 3
2.
Tusiwaruhusu watu wachache waliojazwa
kasumba….kuturejesha ….hatuwezi kukubali kutawaliwa
kidhalimu tena.
a. Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama
b. Kwa kumrejelea mzungumzaji wa maneno haya,
bainisha unafiki katika kauli hii. (alama 16)
3.
Eleza jinsi mbinu ya taharuki ilivyotumika kufanikisha maudhui katika tamthilia
ya kigogo. (ala
20)
HADITHI FUPI
Jibu swali la 4 au 5.
Eunice
Kimaliro : Mtihani wa Maisha.
4.
“…..ilmuradi mawazo yanamwadhibu sasa”
a. Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama
4)
b. Fafanua sifa za anayerejelewa katika dondoo
hili. (alama
6)
c. Onyesha mawazo yanayomwadhibu anayerejelewa
na dondoo hili. (alama
10
Alfa Chokocho :
Tulipokutana tena
5. a. “ Mamangu siku ile aliniamsha mapema.”
i) Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama
4)
ii) Tathmini umuhimu wa usimulizi wa mzungumzaji
katika kuendeleza dhamira ya hadithi hii. (a
8)
b. Onyesha
jinsi mashaka linavyomwafiki mhusika mwenyewe katika hadithi ya “Ndoto ya
Mashaka” (alama 8)
Jibu swali
la 2 au la 3.
2. “ Do !
Do ! Simameni ! Simameni leo kutanyesha mawe! “
i) Eleza
muktadha wa dondoo hili.
(
alama 4)
ii) Fafanua
mbinu za lugha zilizotumika katika dondoo (alama
4)
iv) Dhihirisha
kwa kuzingatia hoja sita jinsi mwanamke alivyosawiriwa katika tamthilia ya “ Kigogo.” (alama
12)
au
3) Eleza kwa kutolea mifano
mitano mitano jinsi mwandishi alivyofaulu kutumia mbinu za :
i) majazi (alama
10)
ii) mbinu rejeshi (alama10)
SEHEMU C: HADITHI FUPI
Alifa Chokocho
na Dumu Kayanda:
Tumbo
Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
Jibu swali
la 4 au la 5.
4. i) Sekta ya elimu ina changamoto
nyingi.Thibitisha kwa kurejelea hadithi zifuatazo : (alama
20)
a) Mapenzi ya Kifaurongo
b) Shogake dada ana Ndevu
c) Mwalimu Mstaafu
d) Mtihani wa maisha
au
5) ‘’ Hakikubakia hata
chakula kidogo cha sadaka ya mwenye njaa… ‘’
i)
Thibitisha ukweli wa kauli hii kwa hoja kumi ukirejelea
hadithi ya Tumbo Lisiloshiba (al 10)
ii)
Jadili uhalisia wa hadithi ya Tumbo Lisiloshiba katika
jamii ya leo kwa kutoa hoja kumi. (al 10)
Dalili ya mvua ni mawingu, lazima tuwe macho”.
(a) Eleza
muktadha wa dondoo hili. (alama 4)
(b) Bainisha
tamathali ya usemi iliyotumika katika dondoo hili. (alama
2)
(c) Ushauri
uliotolewa na msemaji baadaye kama njia mojawapo ya kuwa macho ni wa
kidhalimu. Fafanua. (alama 4)
(d) Eleza
namna unafiki wa msemaji na upumbavu wa mnenewa unavyodhihirika katika muktadha
wa dondoo hili.(alama
(e) Onesha jinsi
ukweli wa kauli hii ulivyojitokeza baadaye katika tamthilia. (alama
4)
3. Jadili migogoro inayojitokeza katika tamthilia ya kigogo, kisha utathmini namna
ilivyosuluhishwa. (alama
20)
SEHEMU
YA C:HADITHI FUPI: TUMBO LISILOSHIBA
Jibu swali
la 4 au 5
4. “Kesho kama sote tutaamka salama……….kama tutafungua
milango ya nyumba zetu”….
(a) Eleza
muktadha wa dondoo hili (alama
4)
(b) Eleza
tamathali mbili za lugha zilizotumiwa katika dondoo hili. (alama
4)
(c) Eleza sifa
sita za msemaji wa maneno haya. (alama
6)
(d) Hadithi hii
inaakisi mambo mengi yanayotendeka katika bara la Afrika.
Taja mambo sita (alama
6)
5.Ukengeushi huzorotesha maendeleo ya kijamii. Jadili kauli hii ukirejelea hadithi ya
‘Mkubwa’. (alama 20)
“ Mguu huu ni wako”
· Eleza muktadha wa dondoo hili (al. 4)
· Ni tamathali gani ya usemi
iliyotumika katika dondoo hili. Eleza maana yake (al.2)
· Msemewa alipewa ahadi zipi (al. 5)
· Eleza sifa na umuhimu wa
mzungumzaji (al. 9)
5 Eleza mbinu ya
· Majazi (al.10)
·
Kinaya (al.10)
6. TUMBO LISILOSHIBA
Kwa kuzingatia hadithi zozote
tano eleza uozo wa jamii kama unavyojitokeza katika tumbo lisiloshiba (Diwani)
7 “Kesho panapo majaaliwa.
Kesho kama sote tutaamka…….. kama tutafungua milango ya nyumba zetu
zinazosimamia juu ya ardhi
hii adhimu…”
a Eleza muktadha wa
dondoo hili (al. 4)
b Eleza sifa nne za
msemaji (al. 4)
c) Taja mbinu zozote
mbili za lugha zinazojitokeza katika dondoo hili (al. 2)
d Kwa kurejelea hadithi
nzima onyesha namna jamii ya kisasa ina tumbo lisiloshiba (al. 10)
“Oooh bebi, miaka yaenda mbio sana, nayo sura yako inachujuka……”
a) Weka dondoo hili katika muktadha wake. (alama 4)
b) Mhusika anayehusishwa na wimbo huu ana msimano gani wa kimapinduzi? (alama 8)
c) Taja sifa zozote nane za muhusika huyu (alama 8)
5. Tamthilia ya ‘Kigogo’ ni kioo cha uhalisia wa maisha ya jamii nyingi za kiafrika.
Thibitisha. (alama 20)
SEHEMU YA
D: HADITHI FUPI TUMBO LISILOSHIBA NA HADITHI NYINGINEZO
Jibu swali la 6 au la 7
6.
“Rasta twambie bwana!”
a)
Weka dondo katika muktadha (ala 4)
b)
Taja mbinu zilizotumiwa na mwandishi katika dondoo hili (ala 2)
c)
Ni kwa vipi mzungumziwa anamchukulia mwalimu mkuu kama
hambe? (alama 4)
d)
Je, mtihani wa
maisha ni amwani faafu ya hadithi hii. (alama10 )
7. Jadili
mashaka ya Mashaka katika hadithi ya
“Ndoto ya Mashaka” (alama 20
2. “Kitabu si jalada, fungua ndani usome mambo. Kitanda usichokilalia kunguni wake huwajui.”
(i) Eleza muktadha wa dondoo hili. (al.4)
(ii) Kwa kurejelea tamthilia ya kigogo,
thibitisha ukweli wa dondoo hili. (al.14)
(ii) Taja tamathali za usemi zilizotumika katika dondoo
hili. (al.2)
3. Eleza mbinu
alizotumia majoka kuendeleza uongozi wake.
(al.20)
HADITHI FUPI.
TUMBO LISILOSHIBA.
6.Huku ukirejelea hadithi ya Tumbo Lisiloshiba na
Shibe Inatumaliza, fafanua maudhui ya ukiukaji wa haki. (al.20)
Tumbo lililoshiba na
Hadithi nyingine
Jibu
swali la 4 au la 5
4. "Penzi lenu na nani? . . . . Mgomba changaraweni haupandwi ukamea. Potelea mbali mkate
wee!"
a) Eleza muktadha wa dondoo hii. (alama
4)
b) Taja naufafanue mbinu mbili za lugha zilizotumiwa katika
dondoo hili. (alama
4)
c)Onyesha vile maudhui ya utabaka yanavyo jitokeza katika
hadithi nzima. (alama
6)
d)Eleza sifa sita za mzugumzaji kwenye dondoo. (alama
6)
AU
5. Ilikuwa kama vile
katia saini ya kutiwa kitanzi bila ya kutambua vipengele vya sheria za utiaji
huo wa kitanzi.
a)Fafanua tamathali mbili zilizotumika katika dondoo. (alama
4)
b)Jadili vipengele vitano vya sheria zinazorejelewa katika
hadithi nzima. (alama
10)
c)Onyesha dhiki
iliyompata mrejelewa kwa kukosa kivitambua vipengele hivyo. (alama 6)
KIGOGO Pauline Kea
LAZIMA
“Ulitaka wahamie wapi siku kama hizi? Wamekuja kuuguza majeraha yao ya
kufungiwa soko.”
a)
Weka maneno haya katika muktadha wake. (alama 4)
b)
Tambua mbinu
mbili za lugha katika dondoo hili (alama 2)
c)
Kando na
kufungiwa soko, Wanasagmoyo wanauguza majeraha yepi mengine yanayosababishwa na
utawala wa Majoka (alama
5)
d)
Fafanua sifa za
msemaji wa dondoo hili. (alama 9)
SEHEMU C: HADITHI FUPI
TUMBO LISILOSHIBA NA HADITHI
NYINGINE
2.
“hebu sikiza jo! Pana hasara gani nzi kufia kidondani?
a)
Weka dondoo hili katika muktadha wake. (alama 4)
b)
Tambua mbinu tatu
za lugha zilizotumika katika dondoo hili na umuhimu wake (alama
6)
c)
Onyesha jinsi
dhana ya nzi kufia kidondani inabainika hadithini (alama 4)
d)
Hali ya
kutowajibika inajitokeza vipi katika hadithi? (alama
6)
3.
Huku
ukirejelea diwani ya Tumbo lisiloshiba fafanua matatizo yanayokumba vijana
katika jamii (alama
20)
SHIBE INATUMALIZA -
Salma Omar Hamad.
1. Lazima. (alama 20)
“Hatuwezi kumaliza
kula, kila leo tunakula”
(a)
Eleza mukadha wa dondoo hili. (alama
4)
(b) Fafanua tamathali ya usemi iliyotumika. (alama 2)
(c) Eleza umuhimu wa mnenaji. (alama
4)
(d) “Lakini nakwambia tena, kula
kunatumaliza” Kwa kudokeza hoja kumi,
jadili ukweli wa
kauli hii. (alama 10)
TAMTHILIA
Pauline Kea: Kigogo
Jibu swali la 4 au 5.
4. “Shika hamsini zako wewe ...
Hatutaki kufanya nira na mtu ...”
(a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama
4)
(b) Eleza tamathali ya usemi iliyotumika. (alama
2)
(c) Uongozi wa Majoka umesheheni sumu ya nyoka.
Thibitisha kwa
kudokeza hoja kumi na nne. (alama 14)
5.Utawala mbaya ni tatizo sugu linalozikumba nchi
nyingi za kiafrika.
Jadili, kwa
kurejelea matukio ishirini katika tamthilia ya Kigogo. (alama
20)
PAULINE KEA: KIGOGO
Jibu swali la 4 au la 5.
4. “Ukitaka kukula asali kaa na nyuki!”
a) Eleza muktadha
wa dondoo hili. [alama
4]
b) Bainisha mbinu
iliyotumika katika dondoo hili. [alama
2]
c) Eleza jinsi wahusika
hawa walivyofaidika kutokana na kukaa na nyuki.
[alama
14]
i) Chopi
ii) Kenga
iii) Ngurumo
iv) Mamapima
AU
5. Eleza jinsi
mwandishi alivyotumia mbinu ya majazi. [alama
20]
SEHEMU YA
D: HADITHI FUPI
Alifa Chokocho
na Dumu Kayanda – Tumbo lisiloshiba na hadithi nyingine
Jibu
swali la 6 au la 7
6. Eleza sifa za wahusika wafuatao. [alama
20]
i) Mwalimu Musi
ii) Jairo
iii) Sera
iv) Mke wa Jairo
AU
7. “ Acha nijiondelee duniani niwaachie wafanisi wafanikiwe.”
a) Eleza muktadha
wa dondoo hili . [alama
4]
b) Fafanua sifa za
mhusika katika dondoo hili. [alama
8]
c) Fafanua mbinu
zozote nne za kifani katika hadithi hii. [alama 8]
KIGOGO na
Timothy A . Rege
1. “………..Acha
porojo zako . Kigogoo hachezewii
watafuta maangamimi!”
a)Eleza muktadha wa dondoo hili (
alama 4)
b)Fafanua sifa za muzungumzaji (
alama 4)
c)El;eza jinsi msemewa alivyokuwa akimchezea kigogo
katika muktadha huu. (
alama 2)
Kwa kurejelea hoja kumi kutoka kwenye tamthilia
Onyesha ukweli kuwa ‘Kogogo
hachezewi
2.
Kwa kirejelea
tamthilia ya kigogo , jadili mbinu - ishi
tunazojifunza kutokana na kijana Tunu . (
alama 20)
3.
HADITHI FUPI
Tumbo lisilishiba na hadithi
nyingine.
Alifa chokacho na Dumu Kaganda ( Wah )
Shogake Dada ana Ndevu – Alifa
chokochi .
“Hapana cha ala, bwana.
Liswmwalo lipo,kama halipo linakuja. Kumbuka msemo mabrafu wa siri ya kata iulize mtungu . Mtungi
wenyewe ni mimi ……”
a)
Eleza muktadha wa
dondoo hili. ( alama 4)
b)
Bainisha
tamathali mbili za lugha zilitotumiwa katika dondoo hili ( alama 2
c)
Fafanua sifa moja
u a msemaji inayodokezwa na dondoo hili ( alama 2)
d)
Msemaji wa mabo
haya baadaye anageuka kata na kupiga mbizi mtundini. Eleza ukitoa mfano
kutoka hadithi. ( alama 4)
e)
Eleza maudhui ya
malezi kama yanavyojotokeza katika hadithi ya shogaka Dada ab Ndevu . (
alma 8
4.
Jadili maudhui ya
elimu katika Diwani ya Tumbo lisiloshima ukizingatia hadithi zifuatazo:
a) Mapenzi ya
kifaurongo
b) Shagake dada ana ndevu .
c) Mamake Bakari .
d) Mwalimu mstaafu
.
e) Mtihani wa
maisha .
TAMTHLIA
- KIGOGO – PAULINE KEA
Jibu
swali la 2 au la 3
2. “ Mimi ni mtu wa vitendo, si wa vishindo.”
(a)
Weka dondoo hili katika muktadha wake. (al. 4)
(b)
Kwa kurejelea dondoo eleza sifa mbili za mnenaji (al. 4)
(c)
Thibitisha ukweli wa kauli ya mnenaji. (al. 12)
3. Ukiukaji haki na uvunjaji sheria ni mambo
yaliyokithiri katika jimbo la Sagamoyo. Thibitisha. (al. 20)
SEHEMU IV: HADITHI FUPI;
Tumbo
Lisiloshiba na hadithi Nyingine.
6. Kwa
kurejelea hadithi ya Tumbo
Lisiloshiba na ya Mapenzi
ya Kifaurongo, fafanua maudhui ya utabaka. (al. 20)
Pauline Kea: Kigogo
Jibu swali 4 au la 5
4. Uongozi mbaya ni tatizo
sugu linalokumba mataifa mengi ya Afrika. Thibitisha ukweli wa kauli hii kwa
kurejelea tamthilia ya kigogo.
(Alama
20)
5. ``Haja zako ni haja
zangu, shida zako ni shida zangu, kiu yangu ni kiu yako.``
a) Weka dondoo hili katika muktadha
wake.
(Alama 4)
b)
Kwa kurejelea dondoo taja na ueleze sifa nne za msemaji na msemewa. (ALama 8)
c)
Taja tamathali ya usemi inayojitokeza katika dondoo
(Alama 2)
d) Kwa kurejelea tamthilia ya kigogo eleza
jinsi mbinu zifuatazo zimejitokeza (Alama 6)
i) Nyimbo
ii) Jazanda
iii) Majazi
SEHEMU D: HADITHI FUPI
A. Chokokocho na D. Kayanda (wahariri) - Tumbo lisiloshiba na hadithi nyingine.
Jibu swali la 6 au la 7
6. a) Anwani ya hadithi TUMBO
LISILOSHIBA ni mwafaka kwa hadithi hii. Fafanua (ALama 10)
b) Fafanua sifa kumi za mzee
Mago
(Alama 10)
7. Huku ukirejelea hadithi za:
i) Mapenzi ya kifaurongo
ii) Shogake dada ana ndevu
iii) Mame Bakari
Fafanua maudhui ya mapenzi kama
yanavyosawiriwa.
(Alama 20)
.
TAMTHILIA (Kigogo)
2. Eleza jinsi mbinu
zifuatazo zilivyotumika katika Tamthlia hii. (alama 20)
a) Kinaya
b) Majazi
3. Ami ? Tangu lini ukawa ami yangu?
a) Eleza muktadha wa dondoo (Alama 4)
b) Taja mbinu
iliyotumika katika dondoo hili (AIama 2)
c) Eleza sifa za msemaji (AI 8)
d) Bainisha maudhui ya nafasi ya mwanamke ukizingatia
mhusika huyu (AIama 8)
SEHEMU YA TANO: HADITHI FUPI
8..Kwa kurejelea hadithi
zozote tano katika ‘Tumbo lisiloshiba na Hadithi nyingine’, fafanua maudhui ya
utabaka. (Alama 20)
: ALIFA CHOKOCHO NA DAMU KAYANDA.
TUMBO
LISILOSHIBA: SAID A. MOHAMED.
LISILOSHIBA: SAID A. MOHAMED.
8. Huacha shughuli zote za pale zifanywe na ndugu yake.... Yeye mno
hupiga mbio huku na kule, kujaribu hili na lile
a. Fafanua muktadha wa dondoo hili. (al.4)
b. Eleza shughuli zilizomfanya mrejelewa kumwachia nduguye shughuli za pale. (al.2)
c. Huku ukitoa mifano mwafaka kutoka hadithini eleza sifa bainifu za mrejelewa. (al. 14)
a. Fafanua muktadha wa dondoo hili. (al.4)
b. Eleza shughuli zilizomfanya mrejelewa kumwachia nduguye shughuli za pale. (al.2)
c. Huku ukitoa mifano mwafaka kutoka hadithini eleza sifa bainifu za mrejelewa. (al. 14)
SEHEMU C: TAMTHILIA KIGOGO: P. KEA
4. Kwa kurejelea mifano mbalimbali thibitisha dai kuwamwandishi
huyu amemlika uhalisia wa jamiiya Kenya (al.
20)
5. Ona sasa! Mnaniharibia biashara. Nimewapa dakika moja muione nyumba
hii paa. Nikiwapatahapa, mtajua
kwa nini wananiita………
a. Fafanua muktadha wa dondoo hili. (al. 4)
b. Tambua kwa kutolea mfano mbinu moja ya lugha inayojitokeza katika muktadha huu. (al.2)
c. Kwa kurejelea mifano mbalimbali eleza madhara/matokeo ya shughuli za msemaji katika dondoo hili kwa jamii husika.
a. Fafanua muktadha wa dondoo hili. (al. 4)
b. Tambua kwa kutolea mfano mbinu moja ya lugha inayojitokeza katika muktadha huu. (al.2)
c. Kwa kurejelea mifano mbalimbali eleza madhara/matokeo ya shughuli za msemaji katika dondoo hili kwa jamii husika.
HADITHI FUPI- TUMBO LISILOSHIBA
JIBU SWALI 4 AU 5
1.
“Kwetu
tunapigania mikono ielekee vinywani. Mzoea vya sahani, vya vigae haviwezii”
a)
Eleza muktadha wa
dondoo hili
(alama
4)
b)
Taja tamathali
mbili za usemi zinazojitokeza katika dondoo hili (alama2)
c)
Fafanua sifa za
msemaji
(alama
4)
d)
Jadili maudhui ya
utabaka ukjirejelea hadithi husika.
(alama 10)
AU
2.
a) Mhini na mhiniwa njia yao moja. Jadili ukweli
wa methali hii ukirejelea hadithi ya mkubwa
(alama10)
b) thibitisha kuwa ulitima ni kati ya maudhui ya
hadithi ya mkubwa (alama10)
SEHEMU YA
D. KIGOGO
JIBU SWALI LA6 AU 7
3.
a) Utawala wa
sagamoyo unatumia mbinu nyingi kubakia mamlakani. Fafanua zozote kumi (ala
10)
b)
Mwanamke ni nguzo imara katika ujenzi
wa jamii. Eleza kauli hii ukirejelea tamthilia ya kigogo (ala 10)
AU
4.
“ Tuacheni kufumbatia maji kama jiwe. Sagamoyo inahitaji
mabadiliko ,damu nyepesi ili kuufungua ukurasa mpya”
a)
Eleza muktadha wa
dondoo hili (ala 4)
b)
Kwa kutoa mifano
taja tamathali mbili za usemi
zinazojitokeza katika dondoo hili
(ala4)
c)
Kwa nini sagamoyo
inahitaji mabadiliko? (ala 10)
d)
Taja sifa moja
ya msemaji inayojitokeza katika dondoo hili (ala2)
“Unayazika
matumizi yetu .Unaifukia kesho yetu.”
a. Eleza
muktadha wa dondoo hili.
b. Onyesha
jinsi anayeambiwa maneno haya anavyoifukia kesho ya wenzake
3. ”Msiba wa kujidunga hauna kilio.” Thibitisha kauli hii kwa
kurejelea ya Kigogo (alama 20)
4. HADITHI FUPI
“Naapa
na mola wangu sitofanya tena biashara hii.”
a. Eleza
muktadha wa dondoo hili
b. Tathmini
umuhimu wa mzungumzaji
c. “Biashara inayorejelewa ilikuwa na athari
basi kwa jamii.” Huku ukirejelea hadithi hii,thibitisha ukweli wa kauli hii kwa
hoja kumi.
5. Jadili maudhui ya usaliti katika
hadithi ,’Mapenzi ya kifaurongo’ na ‘Mame Bakari.’
Kigogo; Pauline Keya
Jibu swali la 4 au la 5
Ndege ruka, ndege ruka,
na barua mkononi,
Kifika kamwambie kimbuga
usiku mchana,
Kila uchao twasema heri
yaliyopita jana
Hata nami sasa naja mbuga
nami nachama
Hapa hapataniweka najua
tutaonana
4. (a) Weka
dondoo hili katika muktadha wake ( alama 4)
(b) Eleza aina ya
urudiaji inayojitokeza katika dondooo ( alama 2)
(c) Eleza sifa na
umuhimu wa mhusika anayesema maneno haya ( alama 4)
(d) Fafanua maudhui
yanayojitokeza katika dondoo ( alama 2)
(e) Taja na ueleze
matumizi mengine manne ya mbinu hii katika tamthilia ukifafanua ujumbe
unaowasilishwa ( alama 8)
5. Amenifukuza,
anataka mkufu wangu wa dhahabu, nimeuficha.
(a) Fafanua muktadha wa dondoo hili ( alama 4)
(b) Eleza
mbinu ya sanaa inayojitokeza katika dondoo ( alama 1)
(c) Eleza maudhui yanayojitokeza katika muktadha (alama 2)
(d) Jadili sifa zozote sita za mnenaji wa maneno
haya (alama
6)
(e) Toa matumizi mengine ya mbinu hii na ueleze
ujumbe uliomo (alama 4)
SEHEMU D:
HADITHI FUPI
Tumbo lisiloshiba na hadithi zingine
( Ken Walibora na Said.A. Mohammed
Jibu swali la 6 au la 7
6. ……… “ Mimi naweza
kumtoa mtu chango sasa hivi! Usituangalie bwana. Kwani tunakula kwa babako?”
(a) Kwa nini msemaji anaongea hivi? (alama 2)
(b) Anayeambiwa ni nani?
Alikuwa anaenda wapi? (alama
2)
(c) Anayezungumza ni
kielelezo cha watu walioathirika katika
jamii kwa kurejelea hadithi nzima. Onyesha vile mwandishi
amesawiri athari hiyo (alama
10)
(d) Eleza sifa za
anayeambiwa (alama
4)
(e) Taja na ueleze
mbinu mbili za lugha zinazojitokeza katika dondoo. (alama 2)
7. Said.A.Mohammed (Tumbo lisiloshiba) na Salma
Omar Hamad ( Shibe inatumaliza) walidhamiria kuonyesha uozo katika jamii za
kiafrika. Thibitisha (alama 20)
Pauline Kea : KIGOGO (Alama20)
4. "Mataifa mengi ya Afrika yamekumbwa na tatizo la uongozi
mbaya." Thibitisha ukweli wa kauli
hii kwa kurejelea tamthilia ya kigogo. (al 20)
HADITHI FUPI
(ALAMA 20)
WAHARIRI:
ALIFA CHOKOCHO NA DUMU KAYANDA - TUMBO
LISILOSHIBA NA HADITHI NYINGINEZO
Jadili ufaafu wa anwani TUMBO LISILOSHIBA kwenye
hadithi hii. (Alama
20)
Kigogo : Pauline Kea
Jibu swali la 4 au 5
1.
Utawala wa majoka
katika jimbo la sagamoyo umejaa sumu ya nyoka’’. Jadili usemi huu kwa hoja kuntu. (Alama 20)
2.
‟Wamenimaliza…
Wamenigeuka…″.
a)
Weka dondoo hili
katika muktadha wake. (Alama
4)
b)
Eleza namna
msemaji amemalizwa na kugeukwa?
(Alama
4)
c)
Eleza umuhimu wa
msemaji.
(Alama
4)
d)
Eleza jinsi
wahusika wengine walivyomaliziwa katika tamthilia. ( Alama 8)
SEHEMU YA D: HADITHI FUPI
Tumbo lisiloshiba
3. (a) Jadili
matatizo yanayowakumba wakaazi wa
Madongo poromoka katika tumbo lisiloshiba (alama
10)
(b)Dhihirisha ukweli wa methali “mzoea sahani vya vigae haviwezi” katika
hadithi ya mapenzi ya kifaurongo (alama
10)
7. Aliyeumwa na nyokaakiona ung’ong’o hushtuka (alama 4)
a) Weka dondoo hili katika
muktadha
b) Eleza namna mzungumziwa
alivyoumwa na nyoka (alama 6)
c) Mzungumziwa anaendeleza
vipi maudhui ya ushauri na ukosefu wa utu? (alama 10)
KIGOGO
1.
.... Hivi
vishahada vyao wanavyovipata siku hizi vinawavimbisha kichwa! Mtu anaitwa
daktari na hata kazi ya maana hana....
a.
Weka dondoo hili
hili katika muktadha wake (Alama 4)
b.
Fafanua mbinu
mbili za sanaa alizozitumia mwandishi (Alama 4)
c.
Ukirejelea
tamthilia ya Kigogo, dhihirisha kuwa mtu anaitwa daktari na hata kazi ya maana
hana.
: HADITHI FUPI: TUMBO LISILOSHIBA
Jibu swali
la 4 au 5
2.
“Hakuchukua muda
mrefu, akili zao zilipowaamsha kuwapeleka kwenye maana hasa ya kile kilichokuwa
kikitokea ...”
a.
Eleza muktadha wa
dondoo hili (Alama 4)
b.
Fafanua tamathali
ya usemi aliyoitumia mwandishi katika dondoo hili (Alama 2)
c.
Fafanua kile
kilichokuwa kikitokea (Alama 2)
d.
Eleza juhudi
zilizofanywa kuzuia kilichokuwa kikitokea kisitoke (Alama 12)
3.
a.
Ulezi umewapa
wazazi wengi changamoto nyingi. Ukirejelea hadithi ya shogake, dada ana ndevu
dhihirisha ukweli wa kauli hii (Alama 10)
b.
Fafanua
changamoto zinazokabili asasi ya ndoa ukirejelea hadithi ya Masharti ya kisasa (Alama 10)
Maswali yako sawa na huweza kusaidia mtahiniwa kupita katika mtihani wa kitaifa ipasavyo
ReplyDeleteHeko!
ReplyDeletekazi nzuri hii!
ReplyDeleteThanks ........students can now improve
ReplyDeleteSafi kabisa....kipindi kizuri mno.
ReplyDeletesafi sana
ReplyDeleteWhere are the answers
ReplyDeleteHeko
ReplyDeleteMajibu
ReplyDelete